Eneo linauzwa / linakodishwa Busweli

Tutor B

JF-Expert Member
Joined
Jun 11, 2011
Posts
9,025
Reaction score
6,618
Eneo liko Buswelu jijini Mwanza, mita 200 kutoka Buswelu centre, linafaa kwa kufanya biashara ya uzalishaji (kiwanda kidogo), pia linaweza kutumika kwa kuendeshea mafunzo / chuo. Awali lilikuwa likitumika kama chuo cha utalii. Kwa sasa liko wazi kwa yeyote anayehitaji kulitumia anaweza kuwasiliana nami kwa namba 0754 533 543.
Picha zake ndo hizi

Hapa ni mbele eneo la kuingilia

UPANDE WA BARABARANI KUONESHA UZIO

JENGO MOJA LA NDANI LINAWEZA KUTUMIKA KAMA ADMINISTRATION BLOCK


NDANI YAPO MAJENGO SITA YANAYOWEZA KUFANYIWA MAREKEBISHO KULINGANA NA HITAJI LA MTUMIAJI

HAPA NI NDANI YA JENGO LILILOKUWA LIKITUMIKA KAMA KIWANDA CHA MAJI.
UKUBWA WA ENEO HILI NI MITA 30 KWA 89.
UNAWEZA KUKODI AU KUNUNUA MOJA KWA MOJA.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…