J jiliml Senior Member Joined Jun 12, 2013 Posts 160 Reaction score 24 Jul 14, 2013 #1 Eneo zuri tambarare,maji umeme upo karibu,linafaa kwa ujenzi wa nyumba ya makazi,biashara n.k,ukubwa wake ni hatua 20 kwa hatua 14,barabara ipo na inapitika muda wote.Anayeitaji kweli anipm au anipatie namba yake nimtafute,bei maelewano.
Eneo zuri tambarare,maji umeme upo karibu,linafaa kwa ujenzi wa nyumba ya makazi,biashara n.k,ukubwa wake ni hatua 20 kwa hatua 14,barabara ipo na inapitika muda wote.Anayeitaji kweli anipm au anipatie namba yake nimtafute,bei maelewano.