Nina shamba la ekari tano fukayosi Bagamoyo 5km kutoka barabarani.... 900,000 /ekari.
Mazungumzo yapo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ngoja niamke nitakucheck. Limepimwa? Una hati ya kijiji au ya wapi?Hakuna kitu chochote
Hiyo ndio bei yake mkuu.
Kwa kila ekari unalipa laki tisa, lakini punguzo lipo