Tshs 450,000,000/ Sqm 465Eneo linapatikana Temeke Usalama njia ya kwenda Mwembeyanga Plot.namba 26,lina ukubwa wa Sqm 465,mtaa wa evaret kwa bei ya Sh.milioni 450.Eneo ni zuri sana na kwa sasa linatumika kwa ajili ya garage linafaa kwa ajili ya uwekezaji...karibuni.
Kwa mawasiliano: 0655 405783
0713 323848
View attachment 589490Hapo no eneo la njeView attachment 589495Eneo la ndaniView attachment 589496
Kwani mi nimesema sio eneo la uwekezaji??Eneo la uwekezaji ndugu yangu, Hii ni biashara
Hatari sana sheikh!Tshs 450,000,000/ Sqm 465
= Tshs 967,700 / 1Sqm
Mno MnoHatari sana sheikh!
Nadhan bado anaotaHivi hizi bei baado zipo za viwanja mil450 sqm 465 Temeke sasa huyu anataka Magu aongezi Kuful ili tuzid kuisoma no