Tangazo la mtindo huu limepitwa na wakati mkuu. Kama unataka kuvutia wateja , weka kila picha na kiasi chake cha manunuzi naq maelezo mengine mhimu na pia bidhaa inapopatikana na namna ya kuwahudumia wateja wa mikoa tofauti. Kumbuka vyuma vimebana kupata bundle na muda wa maongezi ni kazi sana.