Kwa huku marekani mambo si mazuri kwa wafanyakazi. Hakuna overtime, si rahisi kuapata kazi ya pili,wamepunguza benefits kazini,na wana lay oof watu kama utitiri. Watu wengi wanasubiri hii Jobs bill, ambayo itaweza kutengeneza kazi za ujenzi wa miundombinu na njia za usafirishaji, na kuwapa nafuu waajiri.
Kukiwa na overhaul ya infrastructure, hata watu wa IT, sales,service industry...etc wanaweza wakapata soko pia. But for now things are not that rosy.
Ila kama una cash money, vitu vingi ni bei rahisi sana nowadays, watu wanauza michuma, interest rates za morgages zimepungua, nyumba bei zimeshuka, a lot of things bei zimeshuka. Hivyo kama unajua wapi pa kupata dhahabu kwa bei poa, holla at me!!