1. AFC/M23 haitaachia maeneo iliyo nayo mpaka sasa.
2. Baada ya Qatar kuona nguvu ya AFC/M23, inajitahidi kuhimiza serikali isaini makubaliano, kwa sababu waasi hawa wana nguvu ya kutosha kufika Kinshasa.
3. Ukiachana na Burundi, nchi nyingine zote za EAC, zilionesha kulidhia AFC/M23 kuendea kulinda raia na mali zao katika Kivu zote mbili(Kusini na Kasikazini). Hii ilitokana na ongezeko kubwa la bidhaa zinazotoka katika nchi wanachama wa EAC kuelekea Kivu.
Madereva wa magari ya mizigo, kwa sasa wanaonesha kulidhia usalama wao wawapo katika eneo linalolindwa na AFC/M23.