miser

Member
Joined
Jun 20, 2013
Posts
22
Reaction score
12
Build a better site for your business.
All you need is a beautiful website to showcase your products and services, it's an opportunity to express yourself and make something better for your business.
We are here to help and assist you in every possible way to make your dreams come true.

You can have a look at some of our projects via the links below.

Nearly to go live sites.
Auram Safaris – Tanzania Trekking and Zanzibar Holidays (soon will be in the live link at: Auram safaris – Adventure Destination)
Ntambo Adventures – Tanzania Mid-Range Safari Holidays (soon will be in the live link at: Ntambo Adventures)


We're The Coolest Web Design Agency in Arusha - Tanzania
Contact us: Call/WhatsApp: +255 655729991 | Mail: info@computersprings.com | www.computersprings.com

 
Kama kawaida ya wafanyabiashara wa kwetu hakuna bei elekezi.

Sema bei kwa site ya kawaida kama hii ni....

Site ya hivi bei ya kuanzia ni.....
 
Ndio uweke hizo bei tofauti sasa Mkuu, itasaidia hata mteja kujikadiria anaweza kufikia wapi.

Wapo watakaokosoa hizo bei ila hiyo ni kawaida kabisa isikuzuie kuweka bei, sababu kupitia hizo hizo bei utapata wateja tofauti tofauti.
 
Ndio uweke hizo bei tofauti sasa Mkuu, itasaidia hata mteja kujikadiria anaweza kufikia wapi.

Wapo watakaokosoa hizo bei ila hiyo ni kawaida kabisa isikuzuie kuweka bei, sababu kupitia hizo hizo bei utapata wateja tofauti tofauti.
Sawa kaka nimekuelewa ngoja nitazionyesha kwa site, na aina ya biashara mtuanayofanya.
 
Naunga mkono Shimba ya Buyenze 100%. Soko la Tanzania halikosi wateja wenye bajeti — linakosa agencies zinazokubali kusema "site kama hii inaanzia hapa, inafikia hapa."

Rough ranges kwa soko la sasa:
  • Brochure site: TZS 300K – 2M
  • Professional business: TZS 2.7M – 13.5M
  • E-commerce + mobile money: TZS 5.4M – 40M+
Ukitaka kuona jinsi hizi zimevunjwa kwa kina — kwa kila mji (Dar, Zanzibar, Dodoma, Arusha) na kila aina ya site — angalia jinsi Quest Designers, agency ya East Africa inayofanya kazi na wateja wa Tanzania, wanavyosema bei ya website 2026:

👉 Website Cost in Tanzania 2026: Zanzibar & Dodoma Pricing Guide

Mteja akiona hizi kwanza, anajielewa yuko wapi. Kisha akija kwako tayari ameshaelewa kwa nini custom inagharimu kuliko template. Uuzaji unakuwa rahisi zaidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…