Dikoda ya Canal+ HD used miezi 4 inauzwa
Ipo katika hali nzuri
Ligi zinazooneshwa na dikoda hii ni pamoja na, EPL, Serie A, La Liga, Uefa Champions League, Uefa Europa League, Ligue 1.
Malipo ya kila mwezi ni Elfu 40 tu.
Dikoda naiuza kwa Tsh. 80,000 tu.
Napatikana Arusha.
Pia kama upo mkoa mwingine naituma.