Desktops computer

HFOOO

JF-Expert Member
Joined
Aug 6, 2018
Posts
683
Reaction score
652
Zipo mkoani Tabora desktop computer 2 hdd 500GB ram 4GB I CORE 3, monitor nch 22 aina ya Dell used ya ulaya bado haijatumika kwa hapa bongo
Bei kwa zote ni Tsh .730,000/= ukitaka moja pia utapata
0620307124
 
Kiukweli monitor hapo ndo mpango mzima. Ningekua mcharo hii deal ingenihusu
 
una uhakika mkuu unauza monitor 22inch na cpu hiyo kwenye picha?? AU hiyo bei ya 350,000 ni ya CPU peke ake??
 
muuzaji mbn hujibu chochote? Tukuelewejee? Weka tangazo vzr, au we ni dalalii?
 
una uhakika mkuu unauza monitor 22inch na cpu hiyo kwenye picha?? AU hiyo bei ya 350,000 ni ya CPU peke ake??
Ndio bei ni hiyo laki tatu na nusu mkuu
 
ziko poaa,
sasa mtu akiwa dar/tanga/arusha?
Huko ni mbali na nilipo mkuu sitaki kuwa muongo ndio maana nimesema kwa walioko mkoa huo au jiarani na mkoa huo inakuwa rahisi kusafirisha au kama una rafiki mkoa huo unamtuma anakuja kuchukua then anakutumia
 
Weka picha ya monitor zake
Kwa bahati mbaya sikuzipiga picha yenyewe na mimi nipo sehemu nyingine so ukitaka nikuelekeze uende kuziona haina shida
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…