Dalili za ugonjwa wa Tinea Versicolor

doktamathew

Member
Joined
Mar 12, 2013
Posts
21
Reaction score
43
DALILI ZA UGONJWA HUU

Kama nilivokwisha kusema hapo juu ugonjwa huu kwa asilimia kubwa humfanya mtu awe na ngozi kavu maeneo ya mgongoni na mikononi na ambayo anakua na mabaka mabaka meusi na meupe na wakati mwingine yamechanganyika na mabaka mabaka mekundu. Wagonjwa walio wengi hua hawapati muswaso kama ilivo kwa magonjwa mengine

MATIBABU YA UGONJWA HUU
Kwa bahati nzuri ugonjwa huu unatibika vizuri tu na unaisha;japo mabaka mabaka yalokwisha kutokea yanaweza kuchukua miezi kadhaa kuisha na kurudi hali yako ya zamani.

Zipo dawa za kupaka na kuogea ambazo zinafanya kazi vizuri sana. Kama za kupaka zikishindwa kufanya kazi basi itabidi utumie dawa za vidonge na tatizo litakua limekwisha.

Kwa hiyo ndugu zanguni kama unaona una dalili za ugonjwa huu basi usisiste kufika hospitali ili uchekiwe na kupewa dawa sahihi.
Mwisho.

#doktamathew #mpumalanga #igerskenya #tumewasha #corona #254fashion #thriftsocialnairobi #fashion254 #fashionkenya #itsmisatih #nairobifashion #ignairobi #madeofblack #likeforlikes #health #tembeakenya #coronanoma #gainwithmchina #gainwithbundi #gainwithmkenya #gainwithmtaaraw #iamnairobian #kenyanmemes #dontpanic
#staypositive #stayhomechallenge #staystrong #stayathome #staysafe #nairobian



Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…