Milioni 5 kwa mwezi mbona parefu sanaHii Apartment ipo Mbezibeach
Nyumba 2(1self), Sebule, Jiko, Choo cha wageni.
Maji ya dawasa 24hrs, Fensi, Parking ya gari, luku yake
Karibu Tukuhudumie (0742141467)View attachment 1733261View attachment 1733260View attachment 1733263View attachment 1733262
Nitumie picha ya chumba cha 60,000 nikioneTuna Vyumba vya Kupanga Mbezibeach
1. Chumba Sebule choo, ina tiles, gypsum, maji dawasa. Tshs 150,000 Kwa Mwezi
2. Chumba na Sebule, Tshs 100,000 Kwa Mwezi
3. Chumba Singo, Tshs 60,000 Kwa Mwezi
Karibu Tukuhudumie 0742141467