Naomba mnisaidie contact au address au jina la hosipitali na mahali ilipo ya daktari special wa magonjwa ya wanawake.
Iwe ni ndani ya Dar.
Thanks in advance.
Naomba mnisaidie contact au address au jina la hosipitali na mahali ilipo ya daktari special wa magonjwa ya wanawake.
Iwe ni ndani ya Dar.
Thanks in advance.
Lady, try also kwa Profesa Mgaya,
he is a specialist from muhimbili but ana clinic yake pale namanga inaitwa Maria Clinic.
Ukiwa unatokea town kuelekea mwenge - ipo on the left handside just after yale mataa opposite na St. Peters
Kuna yard ya magari pale jus before the clinic.
He is a very good doctor try to go and see him.
Siku za kazi anakuwepo pale kuanzia saa kumi jioni,
but huwa anakuwepo pia on saturdays kuanzia saa nne hadi saa saba/nane.