Corolla limited for sale

Mkuu ukikosa mtu wa 7m kuna 5m hapa.

Ok ofa yako sio mbaya hadi sasa yupo wa 6.5 ndio kaniganda flani kuwa nifike hyo bei.ila kwa kweli kwa hii corolla ni ngumu sana,yani jiwe sana.kifupi ni gari ambayo wanaojua gari hupaswi kuiongelea sana.
poa mkuu.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…