conteainer za 20ft zinauzwa Mwanza

Mwanza sales

Senior Member
Joined
Nov 17, 2015
Posts
193
Reaction score
89
Jipatie Container nzuri za 20ft hapa jijini Mwanza kwa bei nafuu ya Tshs 3 milioni kwa kila moja.
Kwa anaehitaji tuwasiliane kwa 0742159555



 
hii bei kubwa sana kwangu na kwa atakaye niomba ushauri kununua
 
dah ingekua Moshi nna shida nayo sana
 
Hivi inawezekana kujenga nyumba ya ghorofa moja entirely kwa kutumia makontena..??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…