masakafyuku
Member
- Jan 13, 2013
- 25
- 2
Hivi umeelewewa ulichokiandika?-Hatuna agent usidanganyike.
PIA TUNATOA COMMISSION KWA KILA ATAKAELETA MTEJA
Hongera mkuu endelea kushinda mtandaoni kutafuta chakukosoa.Ubarkiwe na unachokifanyaHivi umeelewewa ulichokiandika?
Hivi kwenye maswala ya biashara commission anapewa nani?
Tsh 50,000/=commision sh ngap mkuu?
Ungejua kama niko ofisini nakula kiyoyozi,napiga kazi na kuchat?Hongera mkuu endelea kushinda mtandaoni kutafuta chakukosoa.Ubarkiwe na unachokifanya
Ubarikiwe sana mkuu..uzidishiwe kila ukipandacho.Ungejua kama niko ofisini nakula kiyoyozi,napiga kazi na kuchat?
Au unafikiri wenye kazi wote wanazurula na kutoka jasho?
Tupigie mkuu..karibu sanaNahitaji hilo la 40ft kwa 5m
tupigie mkuu..karibu sana..0718235915/0742084094Nahitaji hilo la 40ft kwa 5m
TupigieNahitaji container 20ft zilizotengenezwa kama ofisi