Computer inauzwa bei chee kabisa!!!!!!!!!!!

KAMBUNDA

Member
Joined
Jan 2, 2013
Posts
79
Reaction score
8
LAPTOP computer inauzwa kwa bei ya kutupwa!!!!!!!!!!!
Ni hp ram 3, hard disk ya 235, proceser ya 2.00, rating yake ni 32 bits, bei 500,000, mwisho 450,000, na baada ya hapo bei ni maelewano,, no, 0762-336 555 au 0715-936 555, nipo mwanza maeneo ya nyegezi stand mabasi yaendayo mikoani (calfonia) karibuni sana.
 
kaka mbona umeenda haraka sana mpaka watoa povu mdomoni!!

kuna kompyuta mpakato na kompyuta ya mezani.. iyo ni ipi bro?
 

...Specifications zingine je? (ina webcam, wifi, dimensions za screen je ni inches ngapi?)
 
Twaweza kuchekishiana then ukaicheki jinsi ilivyo na baada ya hapo ukatoa maamuzi yako juu ya hii laptop
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…