CIVIL ENGINEER FREELANCE

Eddy mtatina

Senior Member
Joined
Jan 8, 2014
Posts
174
Reaction score
142
Habari wakuu,mimi ni mhandisi napatikana kwa huduma zifuatazo:-usimamizi au ujenzi wa majengo aina zote.

-ushauri wa kitaalamu juu ya masuala yote ya ujenzi.

-uchoraji wa michiro ya uhimara wa majenzi kwa kutumia autocad program.

-ushauri wa kitaalam juu ya mifumo yote ya maji na uandaaji wa michoro na ripoti.
 
UMESAJILIWA NA crb?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…