Chumba kinapangishwa Kipo ubungo gereji, kina choo ndani, tiles, jipsom na ni kikubwa. Maji na umeme vipo na kuna parking.. usalama wa kutosha (nyumba ina get na utulivu wa kutosha), kodi ni laki 1 kwa mwezi na inatakiwa kodi ya miezi 10 (maelewano yapo) kwa mawasiliano 0789206314
''Chumba kimoja laki moja na inatakiwa kodi ya miezi 10''........Asante sana
Unaweza kuweka picha za hicho chumba?Chumba kinapangishwa Kipo ubungo gereji, kina choo ndani, tiles, jipsom na ni kikubwa. Maji na umeme vipo na kuna parking.. usalama wa kutosha (nyumba ina get na utulivu wa kutosha), kodi ni laki 1 kwa mwezi na inatakiwa kodi ya
miezi 10 (maelewano yapo) kwa mawasiliano
0789206314
Chumba laki 1? Au unamaanisha nyumba?
Unaweza kuweka picha za hicho chumba?
vipi kuhusu jiko au ni chumba kama chumba tu..kwanini kodi ya miezi 10 na si mwaka mana tumezoea miezi 6 au mwaka kwanini miezi 10