dalali Mwanafunzi Member Sep 25, 2016 76 20 Sep 29, 2016 #1 Ni Chumba Masta na Sebule, haina jiko. Maji yapo ya dawasco, Parking ya gari ipo. Wasiliana: 0752953860//0713226191 NB: Itakuwa wazi Jumamosi Bei Tshs 20000/Mwezi
Ni Chumba Masta na Sebule, haina jiko. Maji yapo ya dawasco, Parking ya gari ipo. Wasiliana: 0752953860//0713226191 NB: Itakuwa wazi Jumamosi Bei Tshs 20000/Mwezi
Masanja JF-Expert Member Aug 1, 2007 4,835 8,936 Sep 29, 2016 #2 Na huyo kuku yumo kwenye package ya bei?
Abuu Kauthar JF-Expert Member Jul 10, 2011 3,950 5,692 Sep 29, 2016 #3 Mbezi beach kumbe kuna nyumba za hivyo??
N Njaro JF-Expert Member Mar 19, 2016 356 786 Sep 29, 2016 #6 Baba yenu said: Weka bei nahitaj ya mchepuko Click to expand... Duuh una nguvu mkuu. Kwa usawa huu wa Ngosha bado unampangishia mchepuko
Baba yenu said: Weka bei nahitaj ya mchepuko Click to expand... Duuh una nguvu mkuu. Kwa usawa huu wa Ngosha bado unampangishia mchepuko
Miss Natafuta JF-Expert Member Sep 16, 2015 25,568 45,899 Sep 29, 2016 #7 Baba yenu said: Weka bei nahitaj ya mchepuko Click to expand... NAOMBA UNILIPIE NA MIMI BABA
B Baba yenu JF-Expert Member Jun 17, 2016 1,053 1,417 Sep 29, 2016 #8 Miss Natafuta said: NAOMBA UNILIPIE NA MIMI BABA Click to expand... We hapana maana kila siku untafuta ninaye mmoja nikiongeza na wife inatosha !! Usawa unakaba
Miss Natafuta said: NAOMBA UNILIPIE NA MIMI BABA Click to expand... We hapana maana kila siku untafuta ninaye mmoja nikiongeza na wife inatosha !! Usawa unakaba
Miss Natafuta JF-Expert Member Sep 16, 2015 25,568 45,899 Sep 29, 2016 #9 Baba yenu said: We hapana maana kila siku untafuta ninaye mmoja nikiongeza na wife inatosha !! Usawa unakaba Click to expand... AHAHAA NITATULIA
Baba yenu said: We hapana maana kila siku untafuta ninaye mmoja nikiongeza na wife inatosha !! Usawa unakaba Click to expand... AHAHAA NITATULIA