Vyoo vya kukaa sio vizuri kwa taarifa yako,mzigo hua haushuki wote,matekeo yake uchafu unabaki kwenye utumbo huko na kuleta cancer ya utumbo!! Pia choo cha kukaa,unaposhusha mzigo,yale maji hua yanaruka yanakuja kugonga kwenye makalio,mwisho wa siku unaugua fungus bure na UTI bure! Labda kama una shida za kiafya hapo sawa