Jeitakuajejaji Senior Member Joined Mar 18, 2010 Posts 176 Reaction score 395 Oct 26, 2019 #1 Kama unahitaji chumba safi ndani ya nyumba ya vyumba viwili basi nipigie 0715531232 Nyumba ipo goba karibu
Kama unahitaji chumba safi ndani ya nyumba ya vyumba viwili basi nipigie 0715531232 Nyumba ipo goba karibu
Ushimen Platinum Member Joined Oct 24, 2012 Posts 44,046 Reaction score 110,605 Oct 26, 2019 #2 Jeitakuajejaji said: Kama unahitaji chumba safi ndani ya nyumba ya vyumba viwili basi nipigie 0715531232 Nyumba ipo goba karibu View attachment 1245055View attachment 1245057 Click to expand... Naona chumba kina rangi nzuri na marumaru za kuvutia mkuu, hata bei yako naona sio mbaya sana. Ingawa naona milango ndio haijawekwa bado eeehh
Jeitakuajejaji said: Kama unahitaji chumba safi ndani ya nyumba ya vyumba viwili basi nipigie 0715531232 Nyumba ipo goba karibu View attachment 1245055View attachment 1245057 Click to expand... Naona chumba kina rangi nzuri na marumaru za kuvutia mkuu, hata bei yako naona sio mbaya sana. Ingawa naona milango ndio haijawekwa bado eeehh
Vladimir Lenin JF-Expert Member Joined Jul 21, 2018 Posts 3,613 Reaction score 5,138 Oct 26, 2019 #3 [emoji1], sema jamaa ana bei sana, laki saba chumba kimoja??? You can't be seriously.
FatherOfAllSnipers JF-Expert Member Joined Mar 13, 2019 Posts 1,709 Reaction score 4,506 Oct 26, 2019 #4 Vladimir Lenin said: [emoji1], sema jamaa ana bei sana, laki saba chumba kimoja??? You can't be seriously. Click to expand... Bei ya laki saba kwa chumba kimoja siyo sawa, wajati laki mbili unapata nyumba nzima. Apunguze bei, maana laki saba kwa chumba pekee tena usawa huu.
Vladimir Lenin said: [emoji1], sema jamaa ana bei sana, laki saba chumba kimoja??? You can't be seriously. Click to expand... Bei ya laki saba kwa chumba kimoja siyo sawa, wajati laki mbili unapata nyumba nzima. Apunguze bei, maana laki saba kwa chumba pekee tena usawa huu.
D Deleted_account JF-Expert Member Joined Nov 1, 2008 Posts 3,385 Reaction score 3,704 Oct 28, 2019 #5 Hiyo AC hapo inafanya kazi? Safi sana nakuja kupanga. Weka picha za milango tuone
MWEMBEKIUNO JF-Expert Member Joined Sep 6, 2016 Posts 1,877 Reaction score 2,531 Oct 28, 2019 #6 mkuu punguza bei yaan nilipe lak 720,000 kwa chumba kilichoanza kuchakaa rangi alafu kipo msata..mkuu kuwa serious kidogo
mkuu punguza bei yaan nilipe lak 720,000 kwa chumba kilichoanza kuchakaa rangi alafu kipo msata..mkuu kuwa serious kidogo