K kizobrax Member Joined Mar 3, 2011 Posts 44 Reaction score 1 Nov 11, 2015 #1 Chumba kina ukubwa wa kutosha, kipo kijitonyama shule ya msingi, hakina singbod, umeme upo, kipo ndani ya geti,,,kodi kwa mwezi ni 40000 tu na inatakiwa miezi 6, Dalali hatakiwi. Nicheck 0756417504 kama unahitaji.
Chumba kina ukubwa wa kutosha, kipo kijitonyama shule ya msingi, hakina singbod, umeme upo, kipo ndani ya geti,,,kodi kwa mwezi ni 40000 tu na inatakiwa miezi 6, Dalali hatakiwi. Nicheck 0756417504 kama unahitaji.
adakiss23 JF-Expert Member Joined Jan 23, 2011 Posts 4,896 Reaction score 5,259 Nov 11, 2015 #2 Singbod ndo nini?