Nimekwambia na nitaendelea kukuambia.
Usibwabwaje, Kufikiria siyo dhambi.
Hivi kwanini nchi kama.
Lithuania,
Estonia,
Latvia,
Poland,
Georgia,
Wamekimbilia kujiunga na NATO?
Wanamuogopa mdudu gani?
Hata mimi pia sipati majibu,
Hivi U.S.A ana military bases all around the planet. Anamuogopa nani?
Tena, kwanini apange ku-install missile shield in Europe wakati hana mpinzani hapa duniani?
Tena, kwanini anandelea kubaki NATO wakati hana mpinzani?
Ntafurahi wewe Great Thinker ukinipa majibu.