Chevy Impala 1964 For Sale

Unauza au umeamua kutuonesha tu.... bei hizo si mwaka huu wa Magufuli... unaweza ulizwa pesa umepata wapi na hilo gari pichani sio Bongo maana sijaona uchafu wowote....

Kuna Gari kama hiyo Bongo rangi ya Pink nilitest mwaka juzi pale biafra kwenye maonesho ya Automotors nadhani... gari la kale lakini kali lina mpaka AC engine mfumo wa carburetor automatic gear issue left-hand drive...

Mleta Mada kaja kufurahisha jukwaa tu...
 
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…