Cherehani ya kisasa inauzwa

Fstborn

JF-Expert Member
Joined
Nov 27, 2016
Posts
507
Reaction score
527
Habari zenu waungwana km mjuavyo kimfaacho mtu chake nina cherehani ya kisasa(inatumia umeme pia) inashona tu haidarizi haijawahi kutumika ipo katika hali nzuri tu bei maelewano naamini hatuwezi shindwana namba yng 0715338079 napatikana dareslama mwenye uhitaji anicheki nimebanwa sana ndugu zangu nahangaika kuappload picha zinakuja tusameheane cna utaalam sana!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
wangoni mje huku.....ofisi yenu inauzwa huku
 
Mama bado IPO nitumie picha whatsapp nione
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…