Una ujuzi na Teknolojia hasa Gadgets, Smartphone Apps (Android,iOS,bb os n.k) na ungependa kushiriki kama mtaalamu kwa makubaliano maalumu katika tukio la Social Media Day in Tanzania litakalo kuwa na theme ya FIX ME?
Tukio litakuwa mwezi Disemba 2014 na tunahitaji wataalamu wataotoa huduma ya kiufundi wenye uelewa kuanzia nadharia mpaka vitendo.Unakaribishwa kama mtu binafsi au kampuni, na itakuwa nafasi nzuri kujitangaza na watu kukujua zaidi.