usalama kwanza
JF-Expert Member
- Oct 3, 2012
- 386
- 158
Inategemea na ukuta wako ulivyo jengwa lakini bei inaweza kufikia 20,000/- kwa mita ila bei inaweza pungua tukija kufanya surveyElectric fence mnafunga kwa pesa ngapi?japo kwa makisio hata kama hujaona ukuta wangu
Hebu jifunzeni hata kuandika matangazo, elezea huduma na viwango vyake vya bei ili watu wapate picha. Maamuzi hutegemea uwiano wa huduma na bei yake.Karibu ujipatie huduma zifuatazo kutoka isecure technology
- CCTV camera systems repair and installation
- Fire alarms systems repair and installation
- Access control systems
- Video intercom systems
- Automatic gates. Repair and installation
- Car tracking systems installation
- Electric fence
- Time attendance systems
ni kwasababu haupo kwenye hii sekta ndio maana unaona ni rahisi kutoa bei , bei ya vifaa mara nyingi inajulikana , nitakupa mfano mdogo tu kuna mtu ameweka camera nne nyumbani kwake nyumba ya kawaida tu sio ya ghorofa , tumempa bei yake , kuna mwingine amefunga kamera hizo hizo nne mbili zinafungwa kwenye duka lipo ground floor , mbili nyingine zinafungwa juu ghorofa ya sita ambapo ilipo store , uvutaji wa waya hapo ni tofauti hizi kamera za juu zinaweza kuchukua waya mrefu sana inaweza zidi mara mbili au tatu ya waya uliotumika kwenye camera nne za nyumba ya kawaida , acha hayo kuna vitu kama kama mabomba yatakayotumika kupitishia hizo wire na vitu vingine , ndio maana tunapendelea kutembelea eneo husika au tupigie simu tusikie maelezo yako , tutawekana sana tutakupa na bei kutokana na kazi.Hebu jifunzeni hata kuandika matangazo, elezea huduma na viwango vyake vya bei ili watu wapate picha. Maamuzi hutegemea uwiano wa huduma na bei yake.
Katika mitandao yote ya kijamii ninayotumia kutangaza wateja wengi sana nawapata kupitia jamiiforums , Ni jambo la kumshukuru Mungu kwa kweli.Mkuu,
Kama ukipata mteja humu ndani kwa matangazo yako haya, basi mshukuru sana Mungu. Aiseee..
Tafakari.
majibu yako ni mazuri na yamekaa kama mtu anayejua biashara kweli,lakini kwa kukushauri ili mtu aweze kujipima kama ataweza au hataweza kufunga hizo systems,ungefanya jambo la busara kwa kuweka range ya bei mbalimbali kulingana na aina ya huduma,kwa mfano unaweza kusema kama kamera zikiwa 4 na nyaya zenye urefu usiozidi mita 100 bei ni kiasi kadhaa..au kamera ikiwa moja bei ni kiasi flani n.kKatika mitandao yote ya kijamii ninayotumia kutangaza wateja wengi sana nawapata kupitia jamiiforums , Ni jambo la kumshukuru Mungu kwa kweli.
Kama kuna mapendekezo yoyote ,naomba uniambie niyafanyie kazi pia
okay kuhusu swala la bei tunajaribu kulifanyia kazi na gharama ya baadhi ya vitu vipo , kuna changamoto ambazo zinatukabili products nyingi tunazipata gharama zikiwa in dollar terms , sasa bei inabadilika sana na pia mahitaji ya mteja mmoja na mwingine yanatofautiana . kuna vitu ambavyo ni fixed price tayarimajibu yako ni mazuri na yamekaa kama mtu anayejua biashara kweli,lakini kwa kukushauri ili mtu aweze kujipima kama ataweza au hataweza kufunga hizo systems,ungefanya jambo la busara kwa kuweka range ya bei mbalimbali kulingana na aina ya huduma,kwa mfano unaweza kusema kama kamera zikiwa 4 na nyaya zenye urefu usiozidi mita 100 bei ni kiasi kadhaa..au kamera ikiwa moja bei ni kiasi flani n.k