Kaka, seriously hii gari hutoiuza kwa vigezo vilivyopo labda ubadilishe.
1) Gari ni namba A means ya zamani kwa hapa Bongo
2) Jamii ya Honda hazipendwi sana, spares tabu sana
3) Bei kubwa, 7mil unaweza kupata imported PASSO.
4) Madereva wengi wa Sasa hupendelea Auto, hazihitaji shule wala ujuzi sana, ni kanyaga-twende