Mrekebishaji
Senior Member
- Mar 19, 2009
- 168
- 63
Mkuu mbona kama ipo garage ? inatembea ? kama mtu niliyouza magari kadhaa hebu mtafute kijana aoshe injini uchafu wake utakimbiza wateja au kushusha bei.Wana jamvi,
nina shida sana ambayo inanilazimu niuze gari yangu kwa bei ya kutupa, nauza Tshs 2,800,000. Ni Nissan Skyline, ipo sinza mugabe kwa sasa. imetengenezwa mwaka 1995, imetembea km 165,270. Piga simu 0763 894508. anagalia picha
kakwambia nani nissan haina spare mkuu??Daah nissan kwa hiyo bei sishangai. It means spare hakuna imemshinda mwenyewe anaamua auze bei ya hasara
mkuu, watu wanaojua magari hawaangalii usafi wa injini mkuu.Mkuu mbona kama ipo garage ? inatembea ? kama mtu niliyouza magari kadhaa hebu mtafute kijana aoshe injini uchafu wake utakimbiza wateja au kushusha bei.
kitu chochote cha kuuza lazima kiwe 'presentable' ndio maana unaingia kichwa kichwa pale Lumumba wanajua wateja wanapenda nini.mkuu, watu wanaojua magari hawaangalii usafi wa injini mkuu.
unawajua wale madalali wa Lumumba?? wale ndo wanapaka magari mafuta ili yang'ae........ukiingia kichwa kichwa inakula kwako.
Nimemshangaa huyo Mheshimiwa,kuna watu humu wasione mtu anauza kitu basi watu wengine hukurupuka kwa taarifa wasizo na hakika nazo just to show kwamba they are also informed!!kakwambia nani nissan haina spare mkuu??
Nissan haina spare fake na spare zake sio za buku 5 kama corolla zenu mkuu........nissan heshima tupu, ukifunga spare unasahau kabisa.