canter inauzwa

Ni ya mwaka gani? Imetembea kilometers ngapi?. Na ina beba tani ngapi?
 
Mkuu kwani 4D35 ni engine imara ? Mbona baadhi ya mafundi wanasema zinamatatizo au una uzoefu nazo ?

4D35 sio mbaya, mi kwa mtazamo na uzoefu wangu 4D36 ndio kidogo zinachoka mapema
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…