Singida unapatikana maeneo gani
[emoji23][emoji23][emoji23]Watu wanauliza maswali utadhani wanatafuta zile za Arusha za NIDA zilizotoweka. Hizi ni nyingine
Sent using Jamii Forums mobile app
Unahitaji au[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23]nipo Kwa supa kitasa nakula mdudu officer ... Nikitoka hapa napanda Kwa Mama claree
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu upo singida wap?? Kesho nakuja huko nahitaji kampaniSingida unapatikana maeneo gani
Duuh hatar fayaaa nakuja huko kesho nionyeshe hayo maeneo tule maisha mkuu[emoji23][emoji23][emoji23]nipo Kwa supa kitasa nakula mdudu officer ... Nikitoka hapa napanda Kwa Mama claree
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbn mshahara haujatoka mkuu..unatoa wapi ujasiri wa kutafuta watu?..tupeane ramaniDuuh hatar fayaaa nakuja huko kesho nionyeshe hayo maeneo tule maisha mkuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Bahati mbaya sana huwa sina urafiki wa ghafla. Hadi nishirikiane na mtu ni mlolongo mrefu sana.
Tena kama umewahi kuikosoa kosoa sirikali humu inabidi uwe makini kweli kweli.Bahati mbaya sana huwa sina urafiki wa ghafla. Hadi nishirikiane na mtu ni mlolongo mrefu sana.
Sina muda na serikali maisha yangu ni serikali tosha. Ili nitoke kwenda popote pale lazima niwe na sababu zaidi ya 50 siyo nitoke kwa sababu zisizo na mashiko.Tena kama umewahi kuikosoa kosoa sirikali humu inabidi uwe makini kweli kweli.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ok nakuona umevaa miwan Nyeus hapoBahati mbaya sana huwa sina urafiki wa ghafla. Hadi nishirikiane na mtu ni mlolongo mrefu sana.
Mkuu wengine tunamshahara Halafu tumejiajiri sasa nakuja kufuatilia mishe zangu huko kuna ofisi nataka kufungua tawi huko nakuja kuchek mazingiraMbn mshahara haujatoka mkuu..unatoa wapi ujasiri wa kutafuta watu?..tupeane ramani
Aaanh Sawa Brother!Mkuu wengine tunamshahara Halafu tumejiajiri sasa nakuja kufuatilia mishe zangu huko kuna ofisi nataka kufungua tawi huko nakuja kuchek mazingira
Sent using Jamii Forums mobile app