Braza Kede
JF-Expert Member
- Nov 1, 2012
- 2,005
- 3,903
Waarabu wanapendelewaHapa naangalia mechi ya CAF ya Confederation wanacheza Dream (DFC] ya naija wapo homeground wameshakula chuma 3-0 dhidi ya mafarao wa Zamalek.
Ukiangalia makosa ni yaleyale ya siku zote kama timu zetu hapa.
Papara nyingi, kimbiakimbia za hovyo kama za ndondo cup na kukosa umakini wanapokaribia goli la wapinzani kunawagharimu sana hawa DFC.
Na walivyoelemewa wanaweza kula hamsa hawa.
Hawa hawana tofauti na hawa wachezaji wetu wa hapa yaani wakikaribia goli la mpinzani wanapoteza utulivu na umakini kabisa unashangaa mtu yuko nafasi nzuri lakini icho atakachokifanya anakijua yeye na mungu wake tu.
Nadhani kuna kitu hawa waarabu wanacho na wachezaji wetu wanakikosa. wataalam wetu wana kazi ya kufanya kuweka sawa haya.
ni kweli mkuu asanteDFC ni ya Ghana mkuu!
Wala Haina uhusiano na weusi mkuu ni kiwango Cha mchezaji,aliyefunga goli ya Zamaleki la pili ni mweusi na katulia sana tena kachagua angle kabisaWatu weusi hatuna utulivu.
Mfano nafasi aliyokosa mzize dhidi ya mamelodi ndio hiyo hiyo mshambuliaji wa esperence kafunga goli.
Mpaka nikajiuliza kwa nini watu weusi hatuna utulivu golini?
mkuu izo zilikuwa propaganda za viongozi wetu wa mpira kuficha madhaifu.Waarabu wanapendelewa
huyo mweusi wa zamalek mm nazan kinachomsaidia ni hao waarabu waliomzunguka lakin hoja ya mtu mweusi kuwa na papara na kukosa subra kwene maeneo muhim nazani iko sahihi kabisaWala Haina uhusiano na weusi mkuu ni kiwango Cha mchezaji,aliyefunga goli ya Zamaleki la pili ni mweusi na katulia sana tena kachagua angle kabisa
Kiwango ndio kinaamua hao Dream ni wepesi sana wanarukaruka tu
Mkuu hii Haina uhusiano na rangi sema grooming namna wachezaji wanavyoandaliwa kuanzia chini hadi kufikia kiwango Cha ukubwahuyo mweusi wa zamalek mm nazan kinachomsaidia ni hao waarabu waliomzunguka lakin hoja ya mtu mweusi kuwa na papara na kukosa subra kwene maeneo muhim nazani iko sahihi kabisa
we waangalie wale wakongo wana timu nzuri sana lakn kukosa utuliv huwa kunawaghalimu sana licha ya kucheza ulaya lakin bado wana iyo hulka ya papara.
kwangu mimi wale mamelodi ndo kati ya timu chache sana za weusi pekee zilizoweza kuondokana na hilo tatizo la kucheza kwa kutanguliza hisia na mihemuko. mara zote utaona wanacheza kwa utulivu na akili kubwa uku wakimwangalia mpinzani nae anakujaje na wao wafanye nini.
Waarabu Wana shida sana nashangaa watu wanavyomlaumu BiBi kule Gaza, Hawa jamaa ni wehu angalia hata ligi ya uturuki Kila siku matukio.RSB vs USMA
Hawa jamaa wanaleta mambo ya siasa kwenye mpira
Duh hatari sana. Tungoje caf wataamua niniRSB vs USMA
Hawa jamaa wanaleta mambo ya siasa kwenye mpira
RSB watapata ushindiSasa hii Mechi ya Berkanena USM Alger imeamliwa vipi maana waAlgeria hawajatokea kabisa uwanjani na sijawaona hata waamuzi pia.
Unaitwa ushindi wa mezani huu. mtu anakula points zake 3 bila kusukumana na yoyote + marupurupu kibao ya kuingia finalRSB watapata ushindi
Fainali watacheza na Zamaleki