Erick_Otieno
JF-Expert Member
- Mar 28, 2010
- 624
- 1,029
mkuu idea km hizi unaona utani lkn ndo maisha yenyewe...yaani leo au kesho ww ndo utakuja kuomba ajira ohoooWatu kama hawa wanastahili kuwa facebook
Utashtakiwa na Kiba na Mond kwa kutumia majina yao waliyoyajenga kwa GHARAMA KUBWA, JUHUDI na UBUNIFU ( BRAND ) kujiingizia fedha bila ridhaa yao. UTAFUNGWAmkuu idea km hizi unaona utani lkn ndo maisha yenyewe...yaani leo au kesho ww ndo utakuja kuomba ajira ohooo
HAKIKA SITAFUNGWA....hayo majina makubwa unayoyapa kichwa sisi...mimi na nwewe ndio tumeyatengenezaUtashtakiwa na Kiba na Mond kwa kutumia majina yao waliyoyajenga kwa GHARAMA KUBWA, JUHUDI na UBUNIFU ( BRAND ) kujiingizia fedha bila ridhaa yao. UTAFUNGWA
Tengeneza majina yako mkuu uone kama ni rahisi.HAKIKA SITAFUNGWA....hayo majina makubwa unayoyapa kichwa sisi...mimi na nwewe ndio tumeyatengeneza
Hawa wabembe mnawapa vichwa wanajiona wanayofanya ya maana.habari wadau,
Kama mnavyojua, siku zote mafanikio huja kwa kuendana na hali, kuangalia upepo unakoelekea, kutatua tatizo ambalo kwa muda huo jamii ndio inakumbana nalo nk.
Sasa jimekuja na wazo la kibiashara ambalo nahitaji Partner, hapa chini: aya ya kwanza ninachambua wazo...aya ya pili ninaorodhesha sifa za Partner:
WAZO
team Kiba na Team Diamond zikutane live, kwenye ukumbi, au hata kama ni uwanja wa taifa...bila Smartphone wala Internet bundle...wachambane watukanane na hata ikibidi wapigane. Kutakuwa na refa (kidigitali ndo bundle yako ya Internet unayoitumia kuwa timu flani...). Kiingiliao ni Tsh elfu 2 (wastani wa internet bundle kwa mtanzania wa kawaida, yaani 1 GB).
PARTNER
Uwe na uwezo wa kufinance: yaani ulipie/ukodishe ukumbi...mimi mwenzio kazi yangu ni kuhakikisha makaratasi yapo sawa (proposal, marketing letter, promotion, PR, kibali n.k.)
PLEASE PM
mission ikishakuwa accomplished hamna shida. mbon kuna kmpuni infungliw leo inafungwa wiki ijayo maana muamala ushapita?
Thank you. Keep wasting More.