Buhari anafanya kweli kuifufua Naira, je sisi tutafuata nyayo?

Rev. Kishoka

JF-Expert Member
Mar 7, 2006
4,526
1,530
Habari hii imenisisimua na kunifurahisha sana. Ni wazi kabisa Buhari na Babantunde wamekuja kwa nia safi ya kufufua uchumi na kuimarisha thamani ya sarafu ya Nigeria Naira.

Tanzania tumefungulia mbwa kwenye imports, mpaka vijiti vya kutoa nyama kwenye meno tunaagiza na si ajabu vinatengenezwa kwa miti kutoka Mufindi!

I hope Rais wa tano pamoja na changamoto zote za kujenga umoja wa kitaifa, suala hili la kurudisha thamani ya shilingi litapewa kipaumbele na udharura!


 
CCM ni zaidi ya Majangili,chagua UKAWA kuokoa twiga na rasilimali zetu nyingine kama vile tembo!
 

Attachments

  • 1443585096774.jpg
    91.6 KB · Views: 278
Watasema wao wanamafuta ndo maana wanafanikiwa. "Akili ndogo kutawala akili kubwa" - Mh. Mch. Peter Msigwa
 
Ni Lowassa tu ndiye anayeweza kufanya yote hayo.

sawa sawa kabisa, na jamaa ameamua kuwa yeye rais pia ndiye atakuwa waziri wa wizara inayoshughurikia mafuta!! kwani huo ndio uti wa mgongo wa uchumi wa NIGERIA, na ndiko wapigaji wengi wapo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…