Benuardkomba
Member
- Jul 4, 2017
- 16
- 0
nimecheka hadi wanangu wameshangaa !!!Kama ni habari za Forever Living naomba tusameheane. Hao jamaa wametoboa mifuko ya watu wengi sana!! Hicho kidumu cha njano nilikuwa na mnunulia mtu mpaka vikafika kumi na tano na hakuna nafuu aliyopata!!
Nilichofaidika ni kutumia hivyo vidumu kuwekea mafuta ya kupikia!!
Mmmh! Natamani kujua ulitumia aloe vera gel pekeake? Na kama ndio ulitumia kwaa jili ya nn/kwa lengo lipi, kama ulitumia hicho pekeake kwa tatizo la Bp nkupe pole kwasababu hata ungetumia vifike 50 hakiwez kuondoa Bp, hivyo unavyo viona apo pichan ni doz ya kutumika kwa wakat mmoja, je ww ulitumiaje?? Mana hiz ni sawa na ukienda hispitali ukaktana na Dr asie mzur akupe dawa tofaut natatzo lako, ukazitumia na ziskusaidie haina mana hosp imeshindwa kutib inawezekana ni Dr ulie kutana nae amekupa doz isivyoKama ni habari za Forever Living naomba tusameheane. Hao jamaa wametoboa mifuko ya watu wengi sana!! Hicho kidumu cha njano nilikuwa na mnunulia mtu mpaka vikafika kumi na tano na hakuna nafuu aliyopata!!
Nilichofaidika ni kutumia hivyo vidumu kuwekea mafuta ya kupikia!!
Kwanza niliyekuwa namnunulia ni marehemu kwa ivo tusikumbushane machungu. Halafu kusema nilikosea kutumia Alovera Gel peke yake wakati M-forever Living mwenzako hapa Iringa alikuwa ananiuzia bila ya kuniambia nichanganye na ivo vingine unanitia hasira itakayonifanya nimchukie bila ya sababu.Mmmh! Natamani kujua ulitumia aloe vera gel pekeake?
[emoji2] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji2]Kama ni habari za Forever Living naomba tusameheane. Hao jamaa wametoboa mifuko ya watu wengi sana!! Hicho kidumu cha njano nilikuwa na mnunulia mtu mpaka vikafika kumi na tano na hakuna nafuu aliyopata!!
Nilichofaidika ni kutumia hivyo vidumu kuwekea mafuta ya kupikia!!
Pole sana rafiki!!Kwanza niliyekuwa namnunulia ni marehemu kwa ivo tusikumbushane machungu. Halafu kusema nilikosea kutumia Alovera Gel peke yake wakati M-forever Living mwenzako hapa Iringa alikuwa ananiuzia bila ya kuniambia nichanganye na ivo vingine unanitia hasira itakayonifanya nimchukie bila ya sababu.
Zaidi ya hayo bei yenu ni kama vile mnauza uhai wakati mnauza viini lishe viambata (supplements) tu!
Baada ya wik 3-4 utakua umerud ktk hali ya kawaida Bp kwishaPole sana rafiki!!
Mi nawaogopa hawa km ukoma!
Kama ni habari za Forever Living naomba tusameheane. Hao jamaa wametoboa mifuko ya watu wengi sana!! Hicho kidumu cha njano nilikuwa na mnunulia mtu mpaka vikafika kumi na tano na hakuna nafuu aliyopata!!
Nilichofaidika ni kutumia hivyo vidumu kuwekea mafuta ya kupikia!!
Duu! Hata mm imeniuma hii, japo kwa bei nikwel zipo juu kdogo lakn zpo vizur Bp inatoweka ushuhuda tunaoKwanza niliyekuwa namnunulia ni marehemu kwa ivo tusikumbushane machungu. Halafu kusema nilikosea kutumia Alovera Gel peke yake wakati M-forever Living mwenzako hapa Iringa alikuwa ananiuzia bila ya kuniambia nichanganye na ivo vingine unanitia hasira itakayonifanya nimchukie bila ya sababu.
Zaidi ya hayo bei yenu ni kama vile mnauza uhai wakati mnauza viini lishe viambata (supplements) tu!