Alaa mgusi leo umetupia sio. Hembu niambie imetembea Km ngapi. Maana kusema metumika miezi minane kama haitoshi vile. Inaweza kuwa miezi minane ukakuta imakula Km kibaoo,hapo itakubidi muda mfupi tu uanze kupambana na Engine sasa. Haya funguka watu walete pesa kesho kwa discount