BNL_ELECTRONICS
JF-Expert Member
- Oct 23, 2014
- 1,290
- 130
- Thread starter
-
- #221
mnhhh...picha ndio hiyo?
mie hapana hiyo siitaki.....nitafutie samsung curve. weka bei yake nijuwe nakutafutaje.
Full HD
HDMI
USB
Satelitte tv
Price: 990,000
Contact: 0713086602
Free delivery
mnhhh...picha ndio hiyo?
mie hapana hiyo siitaki.....nitafutie samsung curve. weka bei yake nijuwe nakutafutaje.
Price maana yake ni bei....
Samsung curve? Una hatari wewe kijana ee?
hatari ya nini kaka?....ndio latest technology....mbona wanatuletea samsung s6 edge na nyinginezo...mie nataka kitu ya curve...unamchek mtu anakuja mpaka anapotelezea mbele hukoo.
Na umejiandaaje? Niliikuta pale mcity ilikuwa milioni 10.aisee wewe utakuwa fisadi au freemarson dah. Wengine hii makitu sisi tunaishia kuyaona yanauzwa tu
Umeelewa kuwa anataka price ya tv gani? Unauijua s. Curve?
mnhhh...picha ndio hiyo?
mie hapana hiyo siitaki.....nitafutie samsung curve. weka bei yake nijuwe nakutafutaje.
nchi 32 bei gani
Mikoani vp unaweza kuituma? Je 850k unachukua?