mojoki JF-Expert Member Joined Oct 21, 2010 Posts 1,313 Reaction score 291 Aug 20, 2012 #1 Simu tajwa hapo juu yauzwa Bei 350,000 cash, Haipungui hata mia wadau
Rejao JF-Expert Member Joined May 4, 2010 Posts 9,219 Reaction score 4,087 Aug 20, 2012 #2 Hiyo uliyotumia siyo lugha nzuri kibiashara.
D Deleted_account JF-Expert Member Joined Nov 1, 2008 Posts 3,385 Reaction score 3,704 Aug 20, 2012 #3 Watu huwa hawauzi vitu hivyo,ungekuwa huna shida usingeweka tangazo jaribu kutumia lugha nzuri. Sent from my BlackBerry using JamiiForums
Watu huwa hawauzi vitu hivyo,ungekuwa huna shida usingeweka tangazo jaribu kutumia lugha nzuri. Sent from my BlackBerry using JamiiForums
mojoki JF-Expert Member Joined Oct 21, 2010 Posts 1,313 Reaction score 291 Aug 20, 2012 Thread starter #4 we ustake nikurembee sana kama unahitaji zungumza... lugha nzuri lugha nzuri kwan umetukanwa
mojoki JF-Expert Member Joined Oct 21, 2010 Posts 1,313 Reaction score 291 Aug 20, 2012 Thread starter #5 ray_mauki said: Watu huwa hawauzi vitu hivyo,ungekuwa huna shida usingeweka tangazo jaribu kutumia lugha nzuri. Sent from my BlackBerry using JamiiForums Click to expand... Sina shida yoyote, Nimeamua kuuza simu coz m tired of it
ray_mauki said: Watu huwa hawauzi vitu hivyo,ungekuwa huna shida usingeweka tangazo jaribu kutumia lugha nzuri. Sent from my BlackBerry using JamiiForums Click to expand... Sina shida yoyote, Nimeamua kuuza simu coz m tired of it
mojoki JF-Expert Member Joined Oct 21, 2010 Posts 1,313 Reaction score 291 Aug 20, 2012 Thread starter #6 john hotsam da1 said: thanks to all.simu nimeshaiuza Click to expand... this is not your post dude, you have to check before you post
john hotsam da1 said: thanks to all.simu nimeshaiuza Click to expand... this is not your post dude, you have to check before you post
Mpita Njia Platinum Member Joined Mar 3, 2008 Posts 6,999 Reaction score 1,189 Aug 20, 2012 #7 mojoki said: Sina shida yoyote, Nimeamua kuuza simu coz m tired of it Click to expand... Imetumika kwa muda gani?
mojoki said: Sina shida yoyote, Nimeamua kuuza simu coz m tired of it Click to expand... Imetumika kwa muda gani?
mojoki JF-Expert Member Joined Oct 21, 2010 Posts 1,313 Reaction score 291 Aug 20, 2012 Thread starter #8 Mpita Njia said: Imetumika kwa muda gani? Click to expand... imetumika kama mwaka mmoja ina scratches kwenye cover coz sikuwa natumia protector
Mpita Njia said: Imetumika kwa muda gani? Click to expand... imetumika kama mwaka mmoja ina scratches kwenye cover coz sikuwa natumia protector
uttoh2002 JF-Expert Member Joined Feb 3, 2012 Posts 19,825 Reaction score 38,345 Aug 20, 2012 #9 Kama umeichoka si ugawe? Ligha uliyotumia Ni mbaya, ungekuwa umeichoka ungeiuza bei hiyo? kaka shida zinakusimbua, funguka acha kaburi. mojoki said: we ustake nikurembee sana kama unahitaji zungumza... lugha nzuri lugha nzuri kwan umetukanwa Click to expand...
Kama umeichoka si ugawe? Ligha uliyotumia Ni mbaya, ungekuwa umeichoka ungeiuza bei hiyo? kaka shida zinakusimbua, funguka acha kaburi. mojoki said: we ustake nikurembee sana kama unahitaji zungumza... lugha nzuri lugha nzuri kwan umetukanwa Click to expand...
mojoki JF-Expert Member Joined Oct 21, 2010 Posts 1,313 Reaction score 291 Aug 21, 2012 Thread starter #10 uttoh2002 said: Kama umeichoka si ugawe? Ligha uliyotumia Ni mbaya, ungekuwa umeichoka ungeiuza bei hiyo? kaka shida zinakusimbua, funguka acha kaburi. Click to expand... hiyo bei mbona sio ghali sana ukilinganisha na thamani ya simu husika, sio kila anayeuza kitu anashida we mpuu.zi
uttoh2002 said: Kama umeichoka si ugawe? Ligha uliyotumia Ni mbaya, ungekuwa umeichoka ungeiuza bei hiyo? kaka shida zinakusimbua, funguka acha kaburi. Click to expand... hiyo bei mbona sio ghali sana ukilinganisha na thamani ya simu husika, sio kila anayeuza kitu anashida we mpuu.zi