Prince Nadheem JF-Expert Member Joined Feb 25, 2012 Posts 1,269 Reaction score 1,107 May 7, 2017 #2 Uzi wako hauna hata chembe ya usirias! Unauza hiyo simu tajwa au unatafuta ya kuuziwa. Kama unauza, picha, bei na taarifa zozote za muhimu kuhusu item unayouza ziwe wazi. Jifunze kufanya biashara ya mtandaoni
Uzi wako hauna hata chembe ya usirias! Unauza hiyo simu tajwa au unatafuta ya kuuziwa. Kama unauza, picha, bei na taarifa zozote za muhimu kuhusu item unayouza ziwe wazi. Jifunze kufanya biashara ya mtandaoni