"..........internet una2mia bila kujiunga na vifurushi maalumu vya blackberry yaaan ina2mika kama smart phone zingin mb za extream tuu una browse page yyte unayotaka..........."
Duuuh
Hiyo itakuwa Blackberry ya kwanza kuiona.
Una maanisha hata bbm unatumia data za bundle bila kujiunga na BIS?
hata uje uchi
hata uje uchi
hata uje uchi
Yangu mimi ni bb 8520 nauza laki moja kwa mwanaume, na kwa mwanamke ni elfu themani tu,
Ni hii ninayoitumia hapa,
Ni pm tu
nafanya biashara ya bb hyo pesa yako mpelekee shemej ako hana hela ya salon