social_science
JF-Expert Member
- Dec 19, 2015
- 1,106
- 1,259
Habari wakuu
Nimekua nikisumbuliwa na halitosis kwa muda mrefu baada ya kupima Ct scan majibu yalikuja kama ifuatavyo
There is thickening of inferior nasal turbinates seen
There are mucosal thickening noted involving right and left maxillary sinuses
Niliandikiwa dawa ila sikupata nafuu nipo mkoani siwez tena kurud muhimbili najua hapa kuna wataalam naomba mnisaidie mapendekezo ya dawa nitakazo tumia na Mungu akisaidia nipone kabisa
Asante.
Nilipewa clarithromycin g 500 vidonge therathin 1×2Taja hapa ni dawa gani ulizoandikiwa na duration and frequency of their uses
Nilipewa clarithromycin g 500 vidonge therathin 1×2
Loratadine 1×1
Avamys ya kupuliza puan kwa siku mara
1Tapatalk Cloud - Downlaoad File 20161226_232844.jpg
Tapatalk Cloud - Downlaoad File 20161226_232921.jpg
Tapatalk Cloud - Downlaoad File 20161226_232942.jpg
Nikikosa usaidizi hapa itabidi nilud muhimbili mwezi hujao,swala la upasuaji linanitatiza sanaHii ni problem mie pia ninayo tangu 2001 nimeona medication yake wanafanya operation naogopa hiyo habari ya operation.
Wewe umeenda medical wamekupa details nzuri nitafurahi kuona solution yake pia.
Asante
RUDI MUHIMBILIHabari wakuu
Nimekua nikisumbuliwa na halitosis kwa muda mrefu baada ya kupima Ct scan majibu yalikuja kama ifuatavyo
There is thickening of inferior nasal turbinates seen
There are mucosal thickening noted involving right and left maxillary sinuses
Niliandikiwa dawa ila sikupata nafuu nipo mkoani siwez tena kurud muhimbili najua hapa kuna wataalam naomba mnisaidie mapendekezo ya dawa nitakazo tumia na Mungu akisaidia nipone kabisa
Asante.
Ni dawa nzuri kwa tatizo lako.HAKUNA MBADALA NI UPASUAJI NA NI RAHISI TU UPASUAJI WAKE USIOGOPE MKUU
MKUU USIOGOPE TIBA YA KUDUMU NIHii ni problem mie pia ninayo tangu 2001 nimeona medication yake wanafanya operation naogopa hiyo habari ya operation.
Wewe umeenda medical wamekupa details nzuri nitafurahi kuona solution yake pia.
Asante
Mkuu baada ya upasuaji itanichukua muda gani kuwa sawaMK
MKUU USIOGOPE TIBA YA KUDUMU NI
UPASUAJI NA NI RAHISI TU.Kuna.mabingwa hawa ENICA na KIMARIO sinta wasahau maishani mwangu kwa utaalamu wao kwa tatizo hilo
asante wanapatikanaje chief as in wanapatikana wapi?MK
MKUU USIOGOPE TIBA YA KUDUMU NI
UPASUAJI NA NI RAHISI TU.Kuna.mabingwa hawa ENICA na KIMARIO sinta wasahau maishani mwangu kwa utaalamu wao kwa tatizo hilo
Upo sawa?Eleza kwanza unaumwa vp ni kuombee Muungu
Mkuu Muhimbili kitengo cha PUA,MASKIO na KOO. EAR,NOSE &THROAT (E.N.T )asante wanapatikanaje chief as in wanapatikana wapi?
Siku2 - 3 mkuuMkuu baada ya upasuaji itanichukua muda gani kuwa sawa
We ndo unapaswa kuombewa mkuu!Eleza kwanza unaumwa vp ni kuombee Muungu
hata mi na shaka na usawa wa huyu jamaaUpo sawa?
Mkuu pole kwa hayo maradhi yako mimi ninaweza kukutibia kw adawzangu za asili na ukapona.Ukihitaji matibabu toka kwangu.Habari wakuu