Mkuu mwaga specs hapa ili tujipime nguvu kama vp biashara ieleweke;
-Ram
-Processor speed
-used wapi na for how long
-HDD size
-kama ina fault au iko fine
Unapoandika hivi unaokoa muda na gharama ya sisi wateja wako ili mtu akikupigia ni negotiation ya bei tu...kama vp wekamo na tupicha