Thread yako imesusiwa mkuu haina mvuto jifunze kwa wengine namna ya kufanya tangazo mkono mtupu haulambwi unapotangaza kitu hakikisha unakuwa na njia za kumshawishi mteja unatangaza kitu unaweka na picha huwez kuuza maandazi harafu umeyaficha ndani wewe upo nje n
Unasema nauza maandazi ni matamu sana. Ushauri tu mkuu