Bei Za Nyumba Maeneo Ya Dar

Banda linauzwa lipo maeneo ya temeke dar es salaam banda lina vyumba vinne na sehemu kubwa ya uwanja gari inafika mpaka uwanjani
mawasiliano...0656 251874.
 
Kaka, hapo kwenye kupanga ni rate za mwezi, miezi mitatu, miezi sita au mwaka?
 
kwetu mbagallaaa nyuma mbele jalalaa bei za vyumba ni muruwaaaaa, we mchana ishi masaki/upanga then usiku njoo ulale mbagala
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…