Habar, mkurugenz wa wilaya ya Nanyumbu ametangaza kuuza viwanja kwa ajili ya makazi, biashara na huduma za kijamii.
Naomba kuuliza nahitajai mita ngapi za mraba kwa ajili ya nyumba ya vyumba vitano na mabanda?