Begi zenye ulinzi (ant-theft backpack)

dardealz

Member
Joined
Feb 8, 2018
Posts
24
Reaction score
34
Agiza kutoka kwetu tukuletee ulipo.
.
ANT-THEFT BACKPACK Ni Begi imara zenye sifa za kipekee.
.
• ULINZI wa hali ya juu - Zipu yake ipo Mgongoni Mwizi hawezi kufungua kama umelivaa.
.
• HALINGIZI MAJI - Sehemu yake ya Mbele limetengenezwa kwa material maalumu isiyopitisha maji.
.
• KUCHAJI SIMU - Lina uwezo wa kuchaji simu kwani linakuja na wire maalumu ambayo ndani unaweka PowerBank na kuchaji simu kwa USB port iliyopo nje.
.
• REFLECTOR - Sehemu yake ya Nyuma lina alama ya Reflector ambayo inaonekana zaidi wakati wa Usiku ili kuongeza Ulinzi
.
• NAFASI - Lina partitions nyingi za kuweka vitu vyako vikapangika kwa usalama kama vile Laptop, tablet, Headphones, Books na mengineyo
.
.
-More Secure
-WaterProof mateial
-USB charging port
-Night security
-More Space
.
Comes with 3 colors (Black | Grey | Blue)
.
Bei ni 75000tzs tuu + FREE DELIVERY
.
Wateja wa Jumla tuwasiliane hapa whatsapp 0712888884
.
Contact us 0712888884 | 0624888884 | 0754888588
.
Location: Daressalaam , Pugu Road - QualityCentreMall.





 
Piga picha hayo unayouza au kideo ukiongelea hayo. Ila picha yake na tuone ni bongoland itavutia zaidi.
 
nadhani kuliita ant- theft sio sawa coz linaibika kirahisi sana nablina attract mwizi( reflects ) so inamaana usiku huwezi kumkimbia mwizi atakua anakuona ........nadhani ungesema kama lina GPS locator...special lock...na vitu kama hivyo ....nadhani ni durable bt not ant theft...Tangazo bora la biashara ni lile linalosema ukweli kuhusu bidhaa...ukimpa mteja matazamio hewa atakusaidia kutangaza uozo kuliko ubora wa bidhaa
 

Ni mawazo yako tu hayo! Lakini jina la hizi begi zinabaki kuitwa hivyo hivyo. Unaweza pia ku google hilo jina zitakuja begi za namna hii. Jina hilo sijalitunga mimi Ndugu
 
haya mabegi kwa muonekano wa picha mazuri ila ajabu ukilishika mkononi ni begi la kijinga mfano hakuna halina quality hata kidogo

Uliwahi kuchukua kwetu? Na Quality ikawa kweli ni mbaya?
 
Ni mawazo yako tu hayo! Lakini jina la hizi begi zinabaki kuitwa hivyo hivyo. Unaweza pia ku google hilo jina zitakuja begi za namna hii. Jina hilo sijalitunga mimi Ndugu
sawa mkuu naelewa nimesema tu kwa uhalisia ...hilo jina haliendani na uhalisia Google is not always right. Binafsi naliita durable civilian backpack ...coz pia sio durable 100% unique feature yake ni water resistance ...mkuu mimi sio mchawi in your business nakutakia mauzo mema
 
Labda uimara ulinzi hata usizungumzie. Kisu hakiingii mkuu ukiacha zipu?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…