Beach plot imekatwa Viwanja kigamboni mita 15 au 20 kutoka Daraja la Nyerere. Narudia Tena mita 15 kutoka DARAJANI. Vipo vya 4 Milion na 6.5 Milion. Vipo Viwanja 25 10 vishauzwa bado 15. Karibu sana 0652180400View attachment 2272401
Huwa mnakosea kuandika tangazo nusu nusu. Hiv unaona ugumu gan kuweka full details za eneo husika?
Ebu weka ukubwa wa viwanja vilivyopo na bei zake sio uweke bei peke ake