hao frester nawakubali sana huwa natuma mizigo kwenda bukoba but hana magari mengi km unavotuaminisha
Kwa Ku compare na idadi ya mabos Wa mabasi Wa kanda hiyo sawa nkajua anajumuisha na zone zingineAna bus nyingi sana mkuu kanda ya ziwa za dar ndio ziko chache
AboodAnaweza akawa na buses 20 tu ukaziona nyiiingi,
Abood peke yake ukitoka mbezi mpaka unafika ubungo utakutana na gari si chini ya 4, mbili zinaingia mjini mbili zinatoka, na pale ni kama 10+km, sikuambii umbali ya moro dar
Wa kijijin kwetu huyo jamaa very youngHaaaaa Frester ni Mchagga by the way,jamaa anajitahidi sana gari zake na lugha ya wahudumu wake kwa route ya Mwanza to Kahama ameshika zaidi ya bus 12 kila siku ziko road,Now to Bk na dar ,pesa ameipatia migodini
Sent using Jamii Forums mobile app
watu wakanda ya ziwa mna vituko sana... mtu akiwa na ma bus hayafiki hata 50.. mnamuona tajiri wa kutupwa.. mkija dar mnashangaa sana yaelekea..Aman kwenu wakuu
Kuna hizi kampun mbili kutoka huku kandaziwa batco na ftester hawa jamaa wameshindikana aisee
Huyu batco ana bus kama Mbuz yaan ni utitiri aisee, ukisimama pale nyakato utakuwa unaona bus zake zinapita kila baada ya dakika kumi Huyu jamaa kampoteza kabisa Zakaria
Zakaria kwa sasa kafuria kabisa hana bus dah yaan had huruma toka jamaa wamfunge kafulia
Kuna Huyu frester jamaa ana bus kama mchanga kwanza Mimi nilikuwaga najua hata ni mchina au mhindi kumbe ni msukuma tu Wa huko geita duh kama ni ndagu hawa ndo Masonic sasa
Ila hongeren japo mnatisha
LONDON BOY
Sent using Jamii Forums mobile app
Kaka usibishe, kwa sasa hakuna anaetawala njia ya kahama-mwanz. Kila muda gari zake zinaingia na kutoka.hao frester nawakubali sana huwa natuma mizigo kwenda bukoba but hana magari mengi km unavotuaminisha
Sjabisha ila nilizani mna compare na route tofauti mfano dar-songea, dar-mbeya, dar-arusha, yaani kuna kuna route kampuni zina magari mengi sana hao frester zidisha Mara tatuKaka usibishe, kwa sasa hakuna anaetawala njia ya kahama-mwanz. Kila muda gari zake zinaingia na kutoka.
Na kuna za kahama-musoma.
Bukoba-dar
Kahama-dar
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaha mkuu hiyo ni kwa huku kanda ya ziwaSjabisha ila nilizani mna compare na route tofauti mfano dar-songea, dar-mbeya, dar-arusha, yaani kuna kuna route kampuni zina magari mengi sana hao frester zidisha Mara tatu
Ni mchaga na sio msukumaAman kwenu wakuu