Mwamba028 JF-Expert Member Joined Nov 15, 2013 Posts 4,648 Reaction score 3,807 Mar 17, 2014 #1 Natafuta bajaji used aina ya TVS kwa milioni 2 (maelewano yapo), mwenye nayo anicheki pm
A activemedia africa Senior Member Joined May 28, 2013 Posts 141 Reaction score 26 May 30, 2014 #2 Mwamba028 said: Natafuta bajaji used aina ya TVS kwa milioni 2 (maelewano yapo), mwenye nayo anicheki pm Click to expand... mkuu bajaji umepata au bado unahitaji?
Mwamba028 said: Natafuta bajaji used aina ya TVS kwa milioni 2 (maelewano yapo), mwenye nayo anicheki pm Click to expand... mkuu bajaji umepata au bado unahitaji?
VOICE OF MTWARA JF-Expert Member Joined Dec 20, 2012 Posts 3,099 Reaction score 2,209 May 30, 2014 #3 hivi bajaj ndio jina la hizi pikipiki za miguu mitatu au ni aina tuu kama ilivyo TVS na nyingine?
Mwamba028 JF-Expert Member Joined Nov 15, 2013 Posts 4,648 Reaction score 3,807 May 30, 2014 Thread starter #4 activemedia africa said: mkuu bajaji umepata au bado unahitaji? Click to expand... Ckupata mkuu ila nilishaghairi huo mpango
activemedia africa said: mkuu bajaji umepata au bado unahitaji? Click to expand... Ckupata mkuu ila nilishaghairi huo mpango
Mwamba028 JF-Expert Member Joined Nov 15, 2013 Posts 4,648 Reaction score 3,807 May 30, 2014 Thread starter #5 VOICE OF MTWARA said: hivi bajaj ndio jina la hizi pikipiki za miguu mitatu au ni aina tuu kama ilivyo TVS na nyingine? Click to expand... Bajaj na TVS ni brand name ya aina ya hizo pikipk za miguu 3 ila wengi wamezoea kuziita bajaji,brand zngne ni km piagio
VOICE OF MTWARA said: hivi bajaj ndio jina la hizi pikipiki za miguu mitatu au ni aina tuu kama ilivyo TVS na nyingine? Click to expand... Bajaj na TVS ni brand name ya aina ya hizo pikipk za miguu 3 ila wengi wamezoea kuziita bajaji,brand zngne ni km piagio
Lwakitwe Senior Member Joined Aug 14, 2013 Posts 101 Reaction score 15 May 30, 2014 #6 Nitakutumia namba ya rweyemamu anauza bajaji yake kwa bei nafuu
mseseve JF-Expert Member Joined Apr 3, 2011 Posts 511 Reaction score 89 May 30, 2014 #7 VOICE OF MTWARA said: hivi bajaj ndio jina la hizi pikipiki za miguu mitatu au ni aina tuu kama ilivyo TVS na nyingine? Click to expand... kuna BAJAJ, TVS, PEAGGIO,APLE N.K HIZI NI KAMPUNI TOFAUTI KAMA ILIVYO TOYOTA. SUBARU NA NISSAN
VOICE OF MTWARA said: hivi bajaj ndio jina la hizi pikipiki za miguu mitatu au ni aina tuu kama ilivyo TVS na nyingine? Click to expand... kuna BAJAJ, TVS, PEAGGIO,APLE N.K HIZI NI KAMPUNI TOFAUTI KAMA ILIVYO TOYOTA. SUBARU NA NISSAN